Ripoti ya Shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Dr. Behruz Miayani kwa kufikia mwaka wa 21 wa kuanzishwa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) na kuanzishwa Chumba cha maongezi cha Internet kwa kuonyesha karakati kubwa iliyofanya Jumuiya hii kunako teknolijia ya mawasiliano aliseam: Chumba hiki ni Chumba maonhezi tofauti ya kielemu miongini mambo hayo ni kuzunguzia masuala ya Qurani na…
Katika maongezi na Shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- alisema: Chumba hiki kimevutia watu wengi sana kutoka sehemu tofauti kwa kushikwa na gutwaa na suala hili kwani katika Chumba hichi kunajubiwa masuali tofauti ya Kidini na kuwafanya watu Dini na Madhehebu kuwa pamoja.
Miyani alibainisha kuwa katika jamii kuna watu kazi yao ni kupotosha wengine kama Mawahabi kupitia Chumba hiki yale mambo yanayofanyika katika kwa kiasi Fulani itaziwilika na kuongoza Umma wa Kiislam kuwa pamoja kutofarikiana.
Taathira ya Chumba hiki ni kumbwa katika Ulimwengu wa Kiislam hasa katika nyanja za mawasiliano na kuwapelekea watu kumili upande wa Kiislam, pia Chumba hiki ni Chumba cha muongozo wa jamii katika Ulimwengu wa mawasiliano.
Miyani pia alishukuru shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- kwa kutuma SMS za kila mabadiliko yanayotokea katika Ulimwengu wa Kiislam kuwa hii ni harakati nzuri ya habari ya sasa ya Ulimwengu habari hasa Ulimwengu wa Kiislam.
Akimazia kwa kusema: lazima Ulimwengu wa Kiislam kuwa na harakati kama hii ili kuzuiya fitina za maadui wa Uislam na kuwa macho katika kila harakati ifanywayo dhidi ya Uislam kuanzisha tovuti za Kiislam na mambo yatayo wapelekea Waislam kuwa macho na harakati za Adui.
Tarehe 31December 1990 ilianzishwa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt(as) kwa amri ya Kiongozi Muadhamu Ayatullah Al Udhma Sayyid Ali Khamenei ili kuzagaza Mafunzo ya Mtume Muhammad(s.a.w.w) na Ahlul Bayt zake.